🌍

Kitama Yetu App

Jukwaa rasmi la kidijitali linalounganisha Wananchi, Viongozi, na Wafanyabiashara wa Kata ya Kitama. Sasa kila kitu kwenye upeto wa mkono wako!

📱 PAKUA APP HAPA

Kuhusu App ya Kitama Yetu

Kitama Yetu ni App iliyoundwa kuleta Uwazi, Ushirikiano, na Uwezeshaji wa kiuchumi. Inakupa uwezo wa kufanya biashara, kupata huduma, na kushiriki katika maamuzi ya maendeleo ya Kata yako moja kwa moja kutoka kwenye simu yako.

🛒 Soko la Kitama

Tangaza na uze bidhaa zako, au fungua duka lako la mtandaoni kwa bure.

🏍️ Kitama Boda

Pata bei sahihi ya safari na umuite dereva wa boda haraka kwenye ramani.

🚨 Tuma Kero

Ripoti changamoto za jamii (maji, barabara, n.k.) kwa viongozi moja kwa moja.

💬 Forum & Inbox

Wasiliana na jamii yako na viongozi kwa urahisi binafsi au kwenye jukwaa.

🎡 Zungusha & Ushinde

Cheza mchezo wa kubashiri na upate fursa ya kushinda zawadi za bure kila siku!

📊 Uwazi wa Jamii

Fuatilia miradi, kero, matukio, na kura za maoni ya jamii ya Kitama.

Maelekezo ya Usakinishaji: Baada ya kupakua faili la App (APK), fungua faili hilo kwenye simu yako ya Android na ufuate maelekezo ya kuisakinisha. Kama simu itakuuliza ruhusa ya kusakinisha App kutoka kwa "Unknown Source" (Browser au File Manager), ruhusu na uendelee. Ni salama 100%!

Tayari Kupakua?

Jiunge na jamii ya Kitama Yetu leo. Pakua App, jisajili, na anza kupata faida zote hizi bila malipo yoyote.

⬇️ PAKUA KITAMA YETU

Post a Comment

0 Comments